Mwezi februari 2020 kiwanda kilisajiliwa kuwa kampuni ya SUMAJKT Bottling company limited ili kufanya uzalishaji na biashara ya vinywaji laini, ikiwa ni pamoja na maji ya chupa ya kunywa.
Hupatikana katika ujazo wa 350mls, 600mls, 1000mls, 1600mls 13ltrs na 18ltrs. Kiwanda kilizanza kama SUMAJKT Bottling Plant April 2018 na kufunguliwa rasmi na aliyekuwa Rais wa tano wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Hayati Dr John Pombe Joseph Magufuli.
Kampuni inamilikiwa na SUMAJKT kwa asilimia 100% kupitia uwekezaji wa mapato yake ya ndani.
Mission
To be the leading bottled company that enhances value in water services provision at the best quality.
Vision
To provide best products quality at reasonable price.