SUMAJKT BOTTLING COMPANY LTD

Luteni Kanali  Peter B Sebyiga

Mkurugenzi Mwendeshaji (MD)

Karibu SUMAJKT Bottling Company Ltd

Tumebobea katika uzalishaji wa maji ya chupa ya kunywa (Uhuru Pure Drinking Water) ambayo ni maji safi na salama kwa afya ya watanzania.

Kampuni Yetu

Mwezi februari 2020 kiwanda kilisajiliwa kuwa kampuni ya SUMAJKT Bottling company limited, ili kufanya uzalishaji na biashara ya vinywaji laini, ikiwa ni pamoja na maji ya chupa yakunywa

Kampuni inamilikiwa na SUMAJKT kwa asilimia 100% kupitia uwekezajiwa mapato yake ya ndani
Jifunze Zaidi
Kiwanda kina uzoefu wa miaka zaidi ya sita kwenye uzalishaji wa maji safi na salama ya kunya.
Kiwanda kina wafanyakazi zaidi ya 30 ikijumuisha Maafisa,Askari, Raia, na mtumishi wa Uma.
Toka kiwanda kianzishwe kimesha zalisha zaidi ya carton za maji milioni tatu.

Je, una maswali ya kutuuliza?

Wasiliana nasi!
Wasiliana Nasi
SUMAJKT BOTTLING COMPANY LTDĀ© 2023 | Imewezeshwa na Kutengenezwa na SUMAJKT